10.04.2021

Category: Tafsiri ya quran tukufu abdul fars

Tafsiri ya quran tukufu abdul fars

Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy 12 Februari - 9 Novemba alikuwa mwanachuoni na mwanahistoria mkubwa wa Kiislamu na mmojawapo wa washairi wakubwa kutoka Zanzibar lakini baadaye alihamia MombasaKenya.

Alifahamka zaidi kwa kutafsiri Qurani tukufu kwa Kiswahili. Vilevile alipata kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar. Alikuwa mtu mwenye kupendwa na watu na alikuwa akizungukwa mara kwa mara na watu wanaotaka kumsalimia au kupata kutoka kwake mafunzo ya Dini.

Umaarufu wake ulikuwa si katika kisiwa cha Zanzibar na nchi za Afrika ya Mashariki peke yake, bali ulienea hadi Somalia ya kusini na ya kaskazini, Cape Town upande wa kusini mpaka kufikia Malawi, mahali alipokuwa akitoa darsa zake kabla ya kuhamia Kenya kwa kuhofia kukamatwa na serikali ya Zanzibar.

Alizaliwa Zanzibar mwezi wa Februari mwaka katika ukoo maarufu, akajifunza Qur-aan kutoka kwa Fatma Hamid Saidaliyesoma kwa Shaykh Amin bin Ahmed aliyekuwa akifundisha Qur-aan kijiji cha Jongeani mahali alipozaliwa Shaykh Abdullah Farsy na kukulia. Shaykh Abdullah Saleh Farsy alihifadhi Qur-aan yote pamoja na hadithi nyingi za Mtume wa Mwenyezi Mungu Swallah Llahu alayhi wa Sallam akiwa na umri mdogo sana, na shauku yake kubwa isiyotoshelezeka ya kujifunza masomo ya Kiislamu na ya kiulimwengu ilionekana pale wenzake walipokuwa wakijishughulisha na michezo na anasa za kidunia, wakati yeye alikuwa kila siku akizama katika kusoma kitabu kipya cha mafunzo ya Kiislamu.

Alikuwa akipenda sana kusoma kiasi ambapo maisha yake yote yalifungika ndani ya maktaba yake kubwa ya nyumbani. Alipofariki dunia, Shaykh Abdullah Saleh al-Farsy alikuwa Aalim mwenye kutambulika na kuheshimika kupita wote katika nchi zinazotumia lugha ya Kiswahili.

Mchango wake usiokuwa na mfano katika kuelimisha watu dini ya Kiislamu ulifikia kiwango chake cha juu baada ya kuchapicha tafsiri kamili ya mwanzo ya Qur-aan Takatifu ya Kiswahili iliyokubaliwa rasmi yenye kurasa Alipokuwa kijana, mwanachuoni huyu mwenye hamasa na uhodari alibahatika wakati ule kuwepo na kuenea kwa vyuo vikongwe vya Kiislamu vilivyojaa wanafunzi chini ya uongozi wa Maulamaa weledi mfano wa Shaykh Abu Bakar bin Abdullah bin Bakathir aliyekuwa mwanafunzi maarufu wa Sayyid Ahmed bin Abu Bakar al-Sumait Imamu huyu wa msikiti wa Forodhani aliyefariki dunia wakati akitoa darsi ndani ya msikiti Gofu alikuwa mwanafunzi wa Shaykh Muhammad Abdul Rahman Makhzymymmojawapo wa waalimu wa Shaykh Abdullah Saleh Farsy.

Baada ya kuwa mjuzi katika elimu ya taasisi ya Kiislamu katika chuo cha Msikiti Barza, Shaykh Abdullah Saleh Farsy alikuwa mjuzi pia wa elimu ya nahau ya lugha ya Kiarabu. Na alipokuwa na umri wa miaka 20 alikuwa akiandika mashairi ya Kiarabu, dalili ya daraja kubwa ya elimu ambayo Maulamaa wa Zanzibar wakati ule waliweza kuieneza.

Swahili Quran Tasfir by Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy

Baada ya kuhitimu darsi zote katika chuo cha Msikiti Barza, Shaykh Abdullah Saleh Farsy aliruhusiwa na Shaykh Ahmed bin Muhammad al-Mlomry kusomesha katika chuo hicho katika mwezi wa Ramadhan chini ya uangalizi wake. Shaykh Abu Bakar bin Abdullah bin Bakathir aliyejifunza kutoka kwake elimu ya Fiq'hi kupita Maulamaa wengi hapo Zanzibar, alikuwa akihudhuria darsi za Shaykh Abdullah Saleh Farsy kwa ajili ya kumpa moyo, kisha akamchagua kuwa Imamu wa Swalah ya Witri kutoka mwaka mpaka terehe 28 Oktobaalipomruhusu pia kusoma Qur-aan katika Msikiti Gofu na hatimaye akawa anasalisha Swalah ya Alfajiri mpaka mwaka alipochukuwa mahali pake mtoto wa dada yake Saleh bin Salim bin Zagar.

Alijifunza kutoka kwake pia elimu ya kupanga nyakati za Swalah na kuujua upande wa Qiblah. Bahati mbaya mwanachuoni huyu alirudi Yemen katika mwaka wa kutokana na udikteta uliokuwepo Zanzibar chini ya serikali iliyoongozwa na mkiristo Julius Kambarage Nyerere.

Umahiri aliouonyesha Shaykh Abdullah Saleh Farsy katika elimu ya mambo ya kidunia ulikuwa mkubwa pia. Alikuwa hodari sana katika elimu hiyo, na alipokuwa Central Primary School aliyojiunga nayo mwakamwalimu wa lugha ya Kiingereza alishindwa kuamua darasa lipi ampeleke.

tafsiri ya quran tukufu abdul fars

Shaykh Abdullah Saleh Farsy aliyemaliza miaka minane inayotakiwa katika shule ya msingi katika muda wa miaka mitano tu.

Aliandika tafsiri yake ya Qur-aan Takatifu kuanzia mwaka wa hadi mwakawakati fikra za umoja wa Kiislamu na Uislamu wa kisasa ulipokuwa ukifanyiwa kampeni kubwa hapo Zanzibar.

David Livingston huko Zanzibar. Tafsiri ya Padri Dale iliyoandikwa kwa Kiswahili cha Kiunguja ilikuwa na kurasa pamoja na kurasa za sharhi, ilipigwa chapa mwaka huko London na jumuiya ya kueneza elimu ya Kikristo Society for Promoting Christian Knowledge. Kwa vile tafsiri hiyo iliandikwa kwa njia ya kuutetea Ukristo, jambo lisilokubalika kwa Waislamu, Shaykh Mubarak bin Ahmed bin Ahmad, mkuu wa Makadiani Afrika Mashariki Ahmadiyah Muslim in East Africa aliamua kuanza kuandika tafsiri yake mwaka iliyokubaliwa na kutambuliwa na wamisionari hapo Zanzibar.

Katika mwaka nakala ya tafsiri ya Makadiani iliyopigwa taipu ilipelekwa mbele ya kamati ya lugha ya Kiswahili Inter-Territorial Swahili Language kwa ajili ya kukubaliwa rasmi kilugha. Na katika mwezi wa Aprili mwakakamati ilijibu kwa kuikubali lugha iliyotumika ikitaka baadhi ya marekebisho kufanyika.

Juu ya kuwa masahihisho yote hayakufanyika kama ilivyotakiwa, tafsiri hiyo ikapelekwa mbele ya baadhi ya viongozi wa Makadiani wa Afrika ya Mashariki na kukubaliwa kuwa lugha iliyotumika ni nzuri na yenye kukubalika.

Uamsho Zanzibar

Shaykh Amri bin Abeidaliyejifunza Ukadiani huko Pakistan mwaka alijaribu kuitetea tafsiri ya Makadiani, lakini tafsiri hiyo iliyopigwa chapa kwa mara ya mwanzo mwaka ilisababisha mgogoro mkubwa kutoka kwa Masunni waliowatuhumu Makadiani kuwa wamebadilisha na kugeuza baadhi ya maneno kwa kusudi la kuunga mkono fikra zao. Ili kupambana na tafsiri za Wakristo na Makadiani zilizogeuzwa na kubadilishwa ilionekana kuwepo umuhimu na dharura ya kupatikana tafsiri yenye kutambuliwa rasmi.

Wallet mod apk

Jukumu hilo akabebeshwa Shaykh Abdullah Saleh Farsy, aliyekuwa akimuomba Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu asife kabla ya kuikamilisha tafsiri hiyo. Fikra hii adhimu ilianza baada ya Shaykh kupiga chapa kitabu chake cha mwanzo kiitwacho 'Maisha ya Mtume Muhammad' Swallah Llahu alayhi wa Sallam kilichofuatiliwa na kitabu cha Sura za Swalah na Tafsiri zake mwaka Vasingstake, Uingereza na kutolewa mwaka Zanzibar.

Tafsiri yake aliyoiandika kwa kuitegemea zaidi tafsiri ya Jalalayn ilianza kupigwa chapa juzuu baada ya juzuu, na baina ya mwaka na juzuu kumi na mbili zilikwishapigwa chapa. Kutokana na upungufu wa fedha, tafsiri iliyokamilika ilipigwa chapa mwaka na wadhamini walikuwa The Islamic Foundation. Msaada mkubwa uliotolewa na Sultani wa Qatar, Shaykh Ahmad bin Ali uliwezesha kugawiwa bure misahafu 4, na kuuzwa misahafu mingine 3, kwa bei nafuu ya shilingi kumi tu.

308 velocity 12 inch barrel

Kuanzia mwaka hadi kampeni kubwa dhidi ya Makadiani ilifanywa na Jamaat al Islam huko Pakistan chini ya uongozi wa Shaykh Maududi aliyezikaribisha juhudi kubwa za Shaykh Abdullah Saleh Farsy, juu ya khitilafu iliyokuwepo baina ya misimamo ya Zanzibar na Pakistani, kwani Shaykh Abdullah Saleh Farsy hakuwa akiona tofauti yoyote baina ya Makadiani na Ahmadiya waliojitenga na Makadiyani.

Kuanzia tarehe 7 Januari hadi 19 Februari Shaykh Farsy alikuwa safarini Nyasaland 'Malawi' na Rhodesia ya Kusini akitoa darsa na kuwahutubia Waislamu na kuwanasihi juu ya umuhimu wa kujifunza masomo ya dini.Katika maulamaa wakubwa za Zanzibar wa siku za karibuni na Al Arham Ali Muhsin Barwaniambaye katika uhai wake alifanya mengi kuuhuisha Uislam.

Bonyeza hapa kusoma tafsiri hiyo. Nashindwa kufaham falsafa ya kutiwa ibara hiyo kila linapotajwa jina la Sheikh Ali Muhsin. Jee haifai kutaja jina la Sheikh Ali Muhsin bila ya kutaja jina la Mwalimu wake? Assalam Allaykum, mimi naitwa Seif naishi fuoni Zanzibar, nipependa hii blog nashauri hadithi pia ziwekwe humu kwa lugha ya kiarabu na tafsiri yake ili tupate kuijua zaidi dini yetu ya kiislamu.

Kitendo cha kuweka hadithi za mtume na tafsiri katika blog hii kinaweza kikaleta mtafaruku mkubwa kwa watumiaji wa blog hii kwa sababu unajua waislamu wengi wanatofautiana juu ya suala la hadithi mara wengine wanakubali hadith sahihi na dhaif mara wengine dhaifu ili kujiendeshea shughuli zao….

Hata hivyo ni vizuri kuweka na hadith pia…. May Allah bless our great leaders. Ahsante kwa kunitumia mawazo yenu. Mimi nimeondoka Unguja mwanzoni, si kwa kutaka au kupenda bali kutimuliwa. Huku niliko nimeota mizizi kushinda mbuyu, lakini Unguja sikuisahau kwa sababu ipo moyoni. Nakutajieni kila la kheri. Hakuna taasisi ambayo inatetea uislam na waislam znz kama uamsho. Allah awajaze taqwa pamoja na waislam wote. Muhsini Barwan yuko hai au ameshatangulia mbele ya haki maana hapo juu mmeandika wakati wa uhai wake nataka kufahamu.

Mbona tunahangaishwa akili zetu na hawa watwana? C watuache na hiki kijinchi chetu mana eti washafikia kututusi eti znzbr c nchi ni mkoa, haya kuna mkoa gani unaoongozwa na rais wao pamoja na wabunge wacopungua 50 na wawakilishi? Huu c ubabaishaji huu? Eti muungano, haya wapi na wapi nchi kuungana na mkoa wake?

Wanafiki wakubwa hawa. Alla atajua vya kuwaunganisha cku ya mwisho. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account.

You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Create a free website or blog at WordPress. Share this: Twitter Facebook. Like this: Like Loading Leave a comment Comments Taha Abdulla Baharoon February 12, at am.

July 3, at pm. Mohammed hajj wa mtambile pemba August 11, at pm.Abdul-'Aziyz Al-Ahmad. Abdul-Baariy Ath-Thubaytiy. Abdul-Baariy Muhammad. Abdul-Muhsin Al-Qaasim. Abdul-Waliy Al-Arkaaniy. Abuu Bakr Ash Shaatwiriy. Ahmad Al-'Ajamiy. Ahmad Al-Hawashy. Ahmad Muhammad Al-Jibaliy. Faaris Al-'Abaad. Fahd Al-Ghuraab. Fahd Al-Ka'bay. Fahd Saalim Al-Kandariy.

Swahili Quran Tasfir by Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy

Haadiy Ahmad Kankariy. Haaniy Ar-Rifaa'iy. Haatim Fariyd Al-Waair. Haza' Al-Baluwshiy. Ibraahiym Ad-Duwsariy Warsh. Ibraahiym Aj-Jibriyn.

Opencv rtsp udp

Ibraahiym Aj-Jurmiy. Ibraahiym Al-'Asiyr. Ibraahiym Al-Ahdhwar. Khaalid Al-Ghamdiy. Khaalid Al-Jaliyl.This banner text can have markup. Search the history of over billion web pages on the Internet. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuendelea kukihu- dumia Kitabu Chake kitukufu. Na sasa, kwa furaha kubwa na shukrani za dhati kwa Allah s. Kabla ya kuipeleka hii chapa ya tano mtamboni, tuliupitia upya Msahafu wote, na tukasahihisha makosa tuliyoyagundua.

Sifa njema, utukufu na uwezo wote ni wa Allah s. BoxNairobi, Kenya. Na wengine akawateremshia Vitabu Vyake. Na ilivyokuwa Vitabu hivi wameteremshiwa uma makhsusi na nyakati makhsusi basi havikusalimika — mwishowe — na miongezo na migeuzo na mipachiko.

Na hivyo vitabu wanavyodai baadhi ya watu kuwa ni vya Mungu vimeteremka mbinguni — hawawezi watu hao kuonesha kwa yakini na uhakika zipi humo hizo sehemu za asli zilizoteremka mbinguni na hizo zilizoongezewa baadaye katika zama mbali mbali. Na ilivyokuwa Vitabu hivyo Mwenyezi Mungu kaviteremsha kwa haja za nyakati makhsusi tu ndiyo maana asivihifadhi na kupotea. Wala hataletwa. Na akakamilisha kwa Kitabu hiki kitukufu dini yake ya haki na akatimiza kwa Kitabu hiki neema yake juu ya watu wote na akakijaalia Uwongozi na Mwangaza mpaka siku ya Kiama.

Na huu Msahafu tulionao uliotapakaa ulimwengu mzima, tunaweza kusema — bila ya shaka yoyote wala kusitasita — kuwa haya ndiyo nafsi ya maneno aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu Subhanahuu Wataala kwa Mtume Wake Muhammad Salla Ilahu Alyhi W'aalihy Wasallam kwa karne kumi na nne na zaidi tangu leo.

Basi kama alivyoahidi kukihifadhi na kukichunga Kitabu Chake hiki basi kitasalia kama kilivyo mpaka kije Kiama na ulimwengu umalizike. Kuleta ftkra hii na kuitangaza kunatokana na wasiokuwa Waislamu ima kwa madai yao tu juu ya dini hii au kwa uchache wa kujua kwao. Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu nyinyi nyote- Mungu ambaye anao ufalme wa mbingu na ardhi, hapana aabudiwaye kwa haki ila yeyej yeye ndiye ahuishaye na ndiye aftshaye.

Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka. Yawapasa Waislamu wote kutangaza Uislamu wa kweli kwa wanaadamu wote. Haukuwa Uislamu kwa ajili ya watu maalumu wala ukoo maalumu. Uislamu ni muangaza wenye uwongozi wa kiroho na kimaisha kwa wanaadamu wote. Sasa imebaki kwa wale watakao kujua haki waitafute kwa kusoma Qurani na kwa kufahamu yaliyomo ndani yake.The prayer i.

Al-Fatihah was called the Salah, because reciting it is a condition for the correctness of Salah - the prayer. Al-Fatihah was also called Ash-Shifa' the Cure. Later, the Messenger of Allah said to a Companion.

How did you know that it is a Ruqyah?

tafsiri ya quran tukufu abdul fars

Allah said. And indeed, We have bestowed upon you the seven Mathani seven repeatedly recited versesi. Surah Al-Fatihah Allah knows best. There is no disagreement over the view that Al-Fatihah contains seven Ayat. We will mention this subject again soon, if Allah wills, and in Him we trust. The scholars say that Al-Fatihah consists of twenty-five words, and that it contains one hundred and thirteen letters. Ibn Jarir said, "The Arabs call every comprehensive matter that contains several specific areas an Umm.

For instance, they call the skin that surrounds the brain, Umm Ar-Ra's. They also call the flag that gathers the ranks of the army an Umm. It was also said that the earth was made starting from Makkah. I was praying. O you who believe! Answer Allah by obeying Him and His Messenger when he calls you to that which gives you life He then said.

I will teach you the greatest Surah in the Qur'an before you leave the Masjid. You said: I will teach you the greatest Surah in the Qur'an. Ubayy did not answer him. The Prophet said, O Ubayy! I will not do it again. Meanwhile I was slowing down fearing that he might reach the door before he finished his conversation.

When we came close to the door, I said: O Messenger of Allah! What is the Surah that you have promised to teach me' He said, What do you read in the prayer.

By Him in Whose Hand is my soul! It is the seven repeated verses that I was given. It is the seven repeated verses and the Glorious Qur'an that I was given. At-Tirmidhi then commented that this Hadith is Hasan Sahih.

It is the seven repeated verses and it is divided into two halves between Allah and His servant. This is the wording reported by An-Nasa'i. At-Tirmidhi said that this Hadith is Hasan Gharib. The Messenger of Allah went while I was following him, until he arrived at his residence.Katika maulamaa wakubwa za Zanzibar wa siku za karibuni na Al Arham Ali Muhsin Barwaniambaye katika uhai wake alifanya mengi kuuhuisha Uislam.

Bonyeza hapa kusoma tafsiri hiyo. Nashindwa kufaham falsafa ya kutiwa ibara hiyo kila linapotajwa jina la Sheikh Ali Muhsin. Jee haifai kutaja jina la Sheikh Ali Muhsin bila ya kutaja jina la Mwalimu wake? Assalam Allaykum, mimi naitwa Seif naishi fuoni Zanzibar, nipependa hii blog nashauri hadithi pia ziwekwe humu kwa lugha ya kiarabu na tafsiri yake ili tupate kuijua zaidi dini yetu ya kiislamu.

Kitendo cha kuweka hadithi za mtume na tafsiri katika blog hii kinaweza kikaleta mtafaruku mkubwa kwa watumiaji wa blog hii kwa sababu unajua waislamu wengi wanatofautiana juu ya suala la hadithi mara wengine wanakubali hadith sahihi na dhaif mara wengine dhaifu ili kujiendeshea shughuli zao…. Hata hivyo ni vizuri kuweka na hadith pia…. May Allah bless our great leaders.

Superstar 3900

Ahsante kwa kunitumia mawazo yenu. Mimi nimeondoka Unguja mwanzoni, si kwa kutaka au kupenda bali kutimuliwa. Huku niliko nimeota mizizi kushinda mbuyu, lakini Unguja sikuisahau kwa sababu ipo moyoni.

tafsiri ya quran tukufu abdul fars

Nakutajieni kila la kheri. Hakuna taasisi ambayo inatetea uislam na waislam znz kama uamsho. Allah awajaze taqwa pamoja na waislam wote. Muhsini Barwan yuko hai au ameshatangulia mbele ya haki maana hapo juu mmeandika wakati wa uhai wake nataka kufahamu. Mbona tunahangaishwa akili zetu na hawa watwana? C watuache na hiki kijinchi chetu mana eti washafikia kututusi eti znzbr c nchi ni mkoa, haya kuna mkoa gani unaoongozwa na rais wao pamoja na wabunge wacopungua 50 na wawakilishi?

Huu c ubabaishaji huu? Eti muungano, haya wapi na wapi nchi kuungana na mkoa wake? Wanafiki wakubwa hawa. Alla atajua vya kuwaunganisha cku ya mwisho.

Google hyperscale servers

You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Blog at WordPress. Share this: Twitter Facebook. Like this: Like Loading Leave a comment Comments Taha Abdulla Baharoon February 12, at am.Manabii na waja wema wamethibitisha ukweli wa Tawassuli kama Ibada ya kisheria isiyo na vumbi lolote.

Hapa tunakuta watu wametawasali kupitia Isa a. Na hili halihesabiwi shirki; kwani shirki ni kuamini Isa ana uwezo wa kujitegemea usiotokana na uwezo wa Mwenyezi Mungu. Na hakuna mwislamu yeyote anayesema hilo. Hakika wana wa Yakub hawajaomba msamaha kutoka kwa Yakub kwa kumweka kando na uwezo wa Mwenyezi Mungu, bali walimfanyaYakub a.

Hili liko wazi kupitia jibu la Yakub kwa wanawe:. Aya inaashiria kukubaliwa kwa maghufira anayowaombea Mtume waisla- mu wenye kutubu, kwa sababu ana jaha kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na wakati huohuo inatilia mkazo umuhimu wa waislamu kuja kwa Mtukufu Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa lengo la Mtume kuwaombea maghufira.

Aya inatoa wasifu wa majina ya Mwenyezi Mungu kuwa yote ni mazuri bila kubagua, kisha inaamuru maombi kupitia kwayo, hivyo mja anapotaja majina yake ambayo yamebeba kila heri na uzuri, rehema, maghufira na utukufu, kisha mja akaenda mbele ya Mwenyezi Mungu kuomba maghufira dhidi ya madhambi na akaomba kukidhiwa haja, basi Mwenyezi Mungu atajibu dua ya mwenye kutawasali kupitia majina yake. Kwa hakika matendo mema huhesabiwa kuwa ni njia za kisheria ambazo kupitia kwazo mja hujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Tawassuli maana yake ni kutanguliza kitu fulani kwenye uwanja wa Mola Mlezi kwa lengo la kupata ridhaa yake, basi hamna shaka kuwa matendo mema ni miongoni mwa njia bora ambazo anashikamana nazo mja kwa lengo la kutimiza haja zake.

Mwenyezi Mungu amesema:. Eee Mola W etu Mlezi, utufanye tuwe wenye kunyenyekea Kwako na utuonyeshe ibada zetu na utupokelee, bila shaka W ewe ndiye Mwenye kupokea, Mwenye ku r ehemu. Hapa Aya inahimiza mafungamano ya matendo mema, nayo ni kujenga Nyumba na dua ambayo Nabii Ibrahim alikuwa akitamani itimie, nayo ni kukubaliwa kwa matendo mema.

Na kutokana na kizazi chake upatikane umma wenye kunyenyekea kama inavyosisitiza kauli ya Mwenyezi Mungu:. Na Aya nyingine ambazo ndani yake kuna jina la Mtukufu Mtume limekutanishwa na jina la Mwenyezi Mungu, hivyo ikawa hii ndio nafasi ya Mtume kwa Mwenyezi Mungu, basi dua yake haikataliwi na hujibiwa ombi lake, na anayeshikamana na dua yake anakuwa kashikamana na nguzo imara. Kwa ajili hiyo tunamkuta Mwenyezi Mungu anawaamuru wenye dhambi miongoni mwa waislamu washikamane na dua yake na wamwombe maghufira Mwenyezi Mungu kwenye kikao chake na wamwombe Mtume awaombee maghufira ili kitendo cha Mtume kuwaombea maghufira kiwe sababu ya kuteremka rehema zake na kukubaliwa toba yao.

Na lau wangelikujia walipojidhulumu nafsi zao wakaomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na Mtume akawaombea msamaha, bila shaka wangemkuta Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye ku r ehemu. Aya tukufu inaonyesha kuwa waumini waliofuatia wanawatakia maghufira ndugu zao waliotangulia, na hii inaonyesha kuwa dua ya ndugu kwa ndugu yake ni jambo la kupendeza na hujibiwa.

Fungu hili si fungu lililotangulia ambalo ni kutawasali kupitia dua ya Mtukufu Mtume, bali lenyewe ni kutawasali kupitia Manabii wenyewe na watu wema na kuwafanya njia ya kujibiwa dua na kuelezea kwa sauti ya juu cheo na hadhi waliyonayo mbele ya Mwenyezi Mungu.

Ikiwa tumetawasali kwa Mwenyezi Mungu kupitia dua ya Mtume kama njia ya kufika kwake, basi katika fungu hili tunamfanya Mtume mwenyewe na heshima yake njia ya kufika kwa Mtukufu Mola Mlezi. Inajulikana kuwa Al - W asila ni dua itokanayo na ule utu ambao Mwenyezi Mungu ameutukuza na kuukuza na kunyanyua hadhi yake kama alivyosema Mwenyezi Mungu:. Ikiwa nguzo ya kujibiwa dua ni utu wake wa pekee wa juu na nafasi yake kwa Mwenyezi Mungu basi ni bora mwanadamu atawasali kupitia utu huo kama anavyotawasali kupitia dua yake.


thoughts on “Tafsiri ya quran tukufu abdul fars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *